Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya kaunti ya Isiolo waandamana.

Wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya kaunti ya Isiolo waandamana.

Baadhi ya wafanyikazi wa hospitali ya rufaa ya kaunti ya Isiolo wameandamana hii leo mjini Isiolo kufuatia kukosa kupokea mshahara kwa muda wa miezi sita.

Wakizungumza na wanahabari mjini Isiolo wafanyikazi hao wamesema kuwa wamepitia changamoto kadhaa kwani wengi wao wanategemewa na familia zao kwa njia tofauti tofauti.

Aidha kulingana na wafanyikazi hao wamesema kuwa kampuni iliyowaaajiri imesema kuwa serikali ya kaunti haijawasilisha fedha ili wawalipe wafanyikazi. Sasa wafanyikazi hao wameomba serikali ya kaunti kuwalipa haraka iwezekanvyo.

Haya yamejiri baada ya kuibuka kwa madai ya kuwalipwa malipo duni kwa wakaazi hao na kampuni iliyowaajiri.

RELATED ARTICLES

WENYEKITI WA BODABODA ISIOLO KUSHIRIKIANA NA VITENGO VYA USALAMA ILI KUPELEKEA KUMALIZIKA KWA UHALIFU

Muungano wa wenyekiti wa wahudumu wa bodaboda Isiolo, umesema kushirikiana Pamoja na maafisa wa  kulinda usalama, ili kumaliza uhalifu katika kaunti hii....

Msako mkali wa pombe haramu wafanyika Isiolo.

Idara ya NGAO katika kaunti ya Isiolo wamefanya msako wa pombe haramu katika eneo la Bula Pesa katika kaunti hii.

ONYO DHIDI YA VIONGOZI WA JAMII WANAOTOA MATAMSHI YA UCHOCHEZI

Onyo kali limetolewa dhidi ya wanasiasa wanaotumia viongozi wa jamii kuchochea wananchi kwani watachukuliwa hatua kali za kisheria. Viongozi...

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

St. Emilie de Vialar

18th January St. Emilie de Vialar (Emily) was born in 1797 in Gaillac and ancient town in the south...

Readings at Mass Tuesday 18 January 2022

Second Week in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading 1 Samuel 16:1-13