Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wenyeji wa kaunti za Samburu na Isiolo wahudhuria mkutano wa amani

Wenyeji wa kaunti za Samburu na Isiolo wahudhuria mkutano wa amani

Wenyeji wa jamii zilizoko mpakani mwa kaunti ya Isiolo na Samburu walikutana ili kusuluhisha tatizo la ukosefu wa usalama.

Mkutano huu umejiri baada ya makumi ya watu kuuwawa kwenye vamizi ambazo zimetekelezwa eneo hilo. Mkutano huo ambao ulihudhuriwa na kamishena wa kaunti ya Samburu Abdirazak Jaldesa uliangazia maswala ambayo yanaleta ugomvi kati ya wenyeji hao.

Kwa upande wake jaldesa amesema kuwa serikali imejitolea kuwahusisha washikadau wote ili kuhakikisha kuwa visa vya uvamizi na wizi wa mifugo vinakomeshwa. Aidha jaldesa amesema kuwa ukosefu wa lishe na maji kwa mifugo ndio chanzo kikubwa cha vita kati ya jamii hizo jambo ambalo amesema litatatuliwa.

Previous articleSt. Gall
Next articleSt. Anthony Mary Zaccaria
RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...