Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wafanyakazi wanaohudumia jamii katika kaunti ya Isiolo waandamana.

Wafanyakazi wanaohudumia jamii katika kaunti ya Isiolo waandamana.

Wafanyakazi wanaotoa huduma za afya kwa kujitolea katika jamii almaarufu CHVs,  waliandamana  mjini Isiolo wakilalamikia kutolipwa kwa miezi  kumi na mmjoa(11).

Wakiongea na wanahabari mjini Isiolo, wafanyikazi hao vilevile wamelalama kwamba wamehangaika kwa muda mrefu na kuwa hawapewi dawa za kutosha za  kuwahudumia jamii.

Aidha, Wafanyakazi hawa wamedokeza kwamba kila mmoja wao anajukumika kuzihudumia familia takriban 100 kutoka maeneo tofauti ya kaunti hii, kinyume na familia ishirini ambazo walitakiwa kuhudumia apo awali.

Sasa wameitaka serikali ya kaunti kuingilia kati na kuwapa marupurupu yao kwani wamekuwa wakipata shilingi 2000 hata baada ya serikali ya kaunti kuwapa ahadi ya kuwalipa shilingi  6000.

Kulingana na wahudumu hao, Shilingi elfu sita walioahidiwa ilikuwa isimamie nauli yao (1,000) malipo ya huduma za mazungumzo kwa simu (1,000) malipo ya kulipia internet za simu (1,000) na shiling elfu mbili ikiwa ni kama marupurupu.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...