Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Afueni kwa wakaazi Isiolo, waliovamiwa na wanyamapori.

Afueni kwa wakaazi Isiolo, waliovamiwa na wanyamapori.

Kaunti ya Isiolo inatarajia kupokea shilingi milioni 45 ya kuwalipa fidia wakaazi waliogharamia hasara kutokana na kuvamiwa na wanyamapori.

Akizungumza na wanahabari mjini Isiolo mwanachama wa bodi ya utalii na uhifadhi wa wanyama pori katika kaunti ya Isiolo Hassan Galgalo aliwahimiza wakaazi kufuatilia mikakati iliyowekwa ili kulipwa fidia kukadiria hasara waliyoipata kutokana na uvamizi wa wanyama pori.

Vile vile  aliwajulisha wakaazi kuwa tangu mwaka wa 2019 baadhi ya wanyama ikiwemo nyoka walitolewa kwenye orodha ya kulipiwa fidia iwapo watawajeruhi wananchi.

Aidha, aliwahimiza wakaazi kupiga ripoti chini ya saa Ishirini na nne,  kwa washikadau husika iwapo watajeruiwa na mnyama yeyote wa mwituni badala ya kuwaua.

Haya yanajiri baada ya waziri wa utalii nchini Najib Balala kuzindua mpango wa fidia kwa wananchi waliovamiwa na wanyama pori arehe 28 mwezi juni mwaka huu.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...