Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News National News IEBC yawahoji watakao jaza nafasi za makamishna.

IEBC yawahoji watakao jaza nafasi za makamishna.

Tume ya mipaka na uchaguzi(IEBC) inaendeleza shugli  ya  kuwapiga msasa  watu 35 walioteuliwa kujaza nafasi ya makamishna wanne waliojiuzulu kutoka kwa tume hiyo. Zoezi hili linafanyika  katika jumba la KICC huku likitarajiwa kuendelea  hadi julai tarehe 22.  

Jopo hilo la uteuzi linaloongozwa na Elizabeth Muli na linatarajiwa kuwahoji watu watatu kila siku hadi kukamilika kwa zoezi hilo.

Hapo awali wakenya 629 walituma ombi la kazi ya nafasi hiyo, amabo kati yao, watahiniwa thelethini na sita ndio walikuwa wanganganie nyadhfa hizo, ata hivyo Abdala Mohamed alijiondoa kwa mahojiano hayo. Hii ni baada ya chuo kikuu cha KEMU kukataa kuwa alihitimu na shahada kutoka chuo hiyo.

Makamishna waliojiuzulu ni Roselyn Akombe, Paul Kurgat, Margaret Mwachanya  na Connie Maina.

RELATED ARTICLES

RAIS KENYATTA AANDAA MKUTANO BAINA YA RAILA NA VINARA WA ONE KENYA

Rais Uhuru Kenyatta leo amekutana na viongozi watano wa vyama vya kisiasa humu nchini. Ni mkutano ambao umekisiwa wa kujaribu kuwaunganisha Raila...

KAUNTI ZOTE ZIWE NA MAHAKAMA KUU, ASEMA JAJI MKUU

Jaji mkuu Martha Koome amesisitiza haja ya kaunti zote nchini kuwa na mahakama kuu. Koome ameiambia baraza la magavana kwamba majimbo saba...

MWANAUME ANAYEDAIWA KUWATEKA NYARA NA KUUWA WATOTO 10 AKAMATWA NAIROBI

Makachero wa uchunguzi wa jinai DCI wanamzuilia mwanaumwe mwenye umri wa miaka 20 anayeshukiwa kuwateka nyara na kuwaua watoto mjini Nairobi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...