Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wito watolewa kwa wakaazi Isiolo kuchukua kadi za huduma.

Wito watolewa kwa wakaazi Isiolo kuchukua kadi za huduma.

Na Joy Gladys Amondi

Wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Isiolo kujitokeza kuchukua kadi za huduma namba katika afisi ya chifu iliyo karibu nao.

Wito huu umetolewa na mwenyekiti wa machifu katika kaunti ya Isiolo Hassan Okicha Duba, ambaye anasema kwa sasa ni kadi 14,188 tayari zimechukuliwa kati ya kadi elfu 20,000 zilizowasilishwa kwa kaunti hii kutoka kwa serikali kuu.

Akizungumza katika afisi yake Okicha amesema kuwa yeyote aliyepokea arafa anapaswa kuzuru afisi ya chifu kuchukua kadi hiyo.

Uzinduzi wa kadi za huduma namba ulifanyika mnamo novemba terehe 18 mwaka jana, katika kaunti ya Machakos na Kiambu, huku zikiwasilishwa kwa kaunti tofauti tarehe mosi mwezi Desemba mwaka uo huo.

Aidha wakaazi ambao hawakupata fursa ya kujisajili kwa awamu ya kwanza, watasajiliwa kwa awamu ya pili inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...