Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wito Watolewa kwa wazazi kaunti ya Isiolo kutekeleza jukumu lao

Wito Watolewa kwa wazazi kaunti ya Isiolo kutekeleza jukumu lao

Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Isiolo kuwa waangalifu kwa usalama wa watoto wao.

Akiongea na radio Shahidi afisini mwake, mwenyekiti wa machifu katika kaunti ya Isiolo Hassan Okicha amewasihi wazazi kuwachunga wanao wakati wowote ili kupunguza visa vya utekaji nyara.

Vile vile amewahimiza wazazi kushirikiana na walinda usalama na machifu, ili kuripoti habari zozote zinazohusiana na watekaji nyara.

Haya yanajiri baada ya wazazi kulalama kufuatia visa vya utekaji nyara kuongezeka nchini.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...