Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Vijana kaunti ya isiolo washauriwa kujiepusha na wanasiasa ambao lengo lao ni...

Vijana kaunti ya isiolo washauriwa kujiepusha na wanasiasa ambao lengo lao ni kutatiza amani

Vijana katika kaunti ya Isiolo wameshauriwa kujiepusha na wanasiasa ambao lengo lao ni kuwatumia  kutatiza amani katika kaunti hii  hasa wakati huu nchi inapoelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Kauli hii imetolewa na George Karithi ambaye analenga wadhifa wa kuwawakilisha wakaazi wa wadi ya wabera kaunti ya Isiolo kwenye uchaguzi ujao.

Aidha kufuatia ongezeko la visa vya utovu wa uslama siku kadhaa zilizopita, katika kaunti hii, karithi amewarai vijana kuwa kwenye mstari wa mbele katika kuhubiri amani ili kupata nafasi ya kunufaika na miradi ya serikali

Vile vile Karithi amezitaka jamii za walio-wachache kushirikianana na kuongea kwa sauti moja ili kufanikisha kusikilizwa kwa matakwa yao.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...