Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News WAKAAZI WA ISIOLO WASHAURIWA KUKUMBATIA AMANI.

WAKAAZI WA ISIOLO WASHAURIWA KUKUMBATIA AMANI.

Kufuatia visa vya utovu wa usalama katika kaunti ya Isiolo, wito sasa umetolewa kwa wakaazi kudumisha amani.

Wito huu umetolewa naye aliyekuwa mbunge wa eneo la Isiolo kaskazini samal lomwa akiongea na radio Shahidi kwa njia ya pekee.

Samal amesema kuwa amani ndio chimbuko la maendeleo kwani  hakuna mwekezaji ambaye anaweza kuwekeza mahali ambapo hakuna amani.

Siku za hivi karibuni kumekuwa na machafuko mengi watu kadha wakijeruhiwa na wengine kupoteza maisha yao katika kile kinadaiwa ni wizi wa mifugo na mizozo ya malisho.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...