Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Seneta wa Isiolo Fatuma Dullo alalamikia kuhangaishwa kwa baadhi ya wafanyabiashara.

Seneta wa Isiolo Fatuma Dullo alalamikia kuhangaishwa kwa baadhi ya wafanyabiashara.

By Julius Waweru

Seneta wa kaunti ya Isiolo Fatuma Dullo kwa mara nyingine ameikashfu serikali ya kaunti kwa kuzembea kazini

Akiongea na Radio Shahidi kwa njia ya pekee Dullo anadai kuwa vijana ambao hufanya biashara ya mchanga wamekuwa wakilipishwa kodi mara tatu jambo ambalo amesema ni kinyume cha sheria.

Hata hivyo amepeana makataa ya wiki moja na iwapo serikali ya kaunti haitokuwa imeshughulikia swala hilo,  hatua za kisheria zitachukuliwa.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...