Shughuli Ya Kuwatahirisha Vijana Katika Jamii Ya Rendile Imeendelea Asubuhi Ya Leo.

0
54

Shughuli ya kuwatahirisha vijana katika jamii ya Rendile imeendelea asubuhi leo.

Vijana Zaidi ya mia nne wamekutana na kisu cha ngariba asubuhi ya leo kule Karare baada ya kutekeleza matakwa yote ya mila na tamaduni hiyo jana.

Aidha mamia ya vijana wameendelea na shugli hiyo katika sehemu mbali mbali za jamiii hiyo kama vile Logologo, Kargi, Laisamis, Merile, Korr, Songa na sehemu nyinginezo.

Kwa kawaida vijana katika jamii hii hutahiriwa kila baada ya miaka 14 wakati ambapo kunakuwa na kuvuka kutoka rika moja hadi rika nyingine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here