Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Mwanamume aliyenaswa akisafirisha bangi kufikishwa mahakamani hii leo.

Mwanamume aliyenaswa akisafirisha bangi kufikishwa mahakamani hii leo.

Mshukiwa wa  ulanguzi wa bangi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani jumatano, hii ni baada ya  kilo kumi na tisa za bangi, zilizo na dhamana ya shilingi laki nane elfu hamsini, kunaswa  katika kizuizi cha polisi cha kuingia  kaunti ya Isiolo eneo la archers post.

  Bangi hiyo, ilikuwa ikisafirishwa katika gari aina ya Toyota Probox, kutoka Moyale kuelekea jijini Nairobi, siku ya jumanne. Bangi hiyo ilikuwa imefichwa chini ya viti vya gari hilo.

 Kamanda wa Polisi Joseph Kigen, akiandamana na kiongozi wa uchunguzi katika kaunti ya Isiolo, wamewataka  maafisa wa polisi wanaokalisha vizuizi kuwa waangalifu Zaidi.

Vile vile Kigen amewarai wananchi kuwa wangalifu Zaidi na kutoa ujumbe kwa polisi shaka linapoibuka.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...