Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Serikali ya kaunti ya Isiolo yalaumiwa kwa kutotenga pesa ya basari

Serikali ya kaunti ya Isiolo yalaumiwa kwa kutotenga pesa ya basari

Kwa mara nyingine serikali ya kaunti ya Isiolo  imekashfiwa kwa kutotenga pesa za basari.

Wa hivi karibuni akiwa ni mwenyekiti wa chama cha wazazi katika kaunti ya Isiolo Ismail Galma, ambaye alilalamika kuwa kwa muda sasa serikali ya kaunti haijakuwa ikitenga pesa za basari ambayo ni kinyume cha sheria.

Kando na hayo amewataka viongozi wote wa kaunti kuwa mstari wa mbele kupigania haki za wanafunzi kwani wengi wao wametoka katika familia ambazo hazina uwezo kifedha.

Kwa sasa wanafunzi wengi hasa wanaojiunga na shule za upili mwezi agosti, kutoka familia maskini hawana la kufanya baada ya viongozi kuendelea kunyamaza kuhusu basari.

Ata hivyo ametishia kuwa huenda wakaandaa maandamano ya Amani iwapo viongozi wataendelea kupeana basari bila kuonyesha ni kina nani wamenufaika na pesa hizo.

Haya yanajiri huku madai yakizidi kuibuka kuwa baadhi ya wanafunzi wanaofaidika kutokana na basari zinazopeanwa sio ambao wanastahili ikizingatiwa hali ya famili zao kujimudu kifedha.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...