Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Asilimia kubwa ya wakaazi katika kaunti ya Isiolo wameadhirika na ukame.

Asilimia kubwa ya wakaazi katika kaunti ya Isiolo wameadhirika na ukame.

Asilimia 55 ya wakaazi wa kaunti ya Isiolo wameadhirika na ukame hivyo basi ipo haja ya serikali ya kaunti kuingilia kati kuwasaidia kwaa chakula cha msaada.

Taarifa hii ni kulingana na mratibu wa shirika la kupambana na ukame katika kaunti ya Isiolo NDMA Lordman Lekalkuli akisema kuwa baadhi ya mashirika yamejitokeza kusaidia kwa kuwatumia pesa wakaazi walioadhirika na njaa katika kaunti hii.

Wakati uo huo Lordman amewahimiza wanao miliki  mifugo kuiuza mifugo yao iwapo watapata nafasi kabla ya mifugo kudhoofika kwani kaunti inaelekea wakati mgumu zaidi ambao kwa kipindi cha miezi mitatu haitapokea mvua.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...