Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home Digital Desk Makadirio ya mapato ya Kaunti ya Isiolo.

Makadirio ya mapato ya Kaunti ya Isiolo.

Mapato ya Kaunti ya Isiolo yanatarajiwa kuongezeka kati ya 2017-2022. 

Ongezeko hili linatarajiwa kuwa thabiti. Mwaka wa 2017/18 serikali ilikadria kupata  millioni 182.86 , kusanyo ambalo lilitarajiwa kuongezeka  kwa millioni 9.14 mwaka wa kiserikali 2018/19.

Makadirio ya mwaka wa serikali uliopita, yalitarajiwa kuongezeka kwa millioni 10.59 kufikia millioni 222.27 kabla ya mwisho wa mwaka huu, na kuongezeka kwa millioni 11.11 kabla ya mwisho wa mwaka wa 2022/23.

Ujumbe huu umechapishwa na Radio Shahidi kwa ushirikiano kati ya @CodeForAfrica, @kcomnet ,CAMECO na Shirika la Ujerumani chini ya mradi wa #OurCountyOurResponsibility.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...