Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Seneta mteule Halake Abshiro, ameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo kutenga fedha Zaidi  katika bajeti yake kwa manufaa ya wakaazi wanaoishi katika hifadhi za jamii.

Akizungumza kutoka hifadhi ya Kalama iliyoko kaunti ya Samburu, Abshiro aliipa changamoto serikali ya kaunti ya Isiolo na kuitaka kuiga mfano kutoka kwa kaunti jirani ya Samburu ambayo kila mwaka wa serikali imekuwa ikitenga kando ma millioni ya fedha kwa minajili ya kuziinua jamii zinazoishi katika  hifadhi za jamii.

Aidha, Abshiro amewarai viongozi katika kaunti ya Isiolo kuwa katika mstari wa mbele kuzielimisha jamii kuhusiana na umuhimu wa hifadhi.

Bunge la kaunti ya Isiolo mwezi Julai lilipitisha bajeti ya shilingi bilioni 5,509,805971.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...