Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home Digital Desk Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Mazao ya vyakula yanatarajiwa kuongezeka kati ya mwaka wa 2018 hadi 2022

Ongezeko hili linatarajiwa   kufuatia vijana katika kaunti ya Isiolo kupata ekari moja ya shamba ili kujihusisha kwenye ukulima kama njia mojawapo ya kuimarisha usalama wa chakula katika kaunti hii.

Mwaka wa 2018 mapato ya chakula yalikuwa duni kwani yalikuwa asilimia 3% kufikia sasa imefikia asilimia 20 huku mwaka ujao ikitarajiwa kufikia asilimia 30%.

Ujumbe huu umechapishwa na Radio Shahidi kwa ushirikiano kati ya @CodeForAfrica, @kcomnet ,CAMECO na Shirika la Ujerumani chini ya mradi wa #OurCountyOurResponsibility.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...