Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Ubomozi Mwangaza- usafiri watatizwa huku Magari yakichomwa na wakaazi kukesha usiku...

Ubomozi Mwangaza- usafiri watatizwa huku Magari yakichomwa na wakaazi kukesha usiku nje

Barabara kuu ya Isiolo kuelekea Meru, imefungwa kwa mda, hii ni baada ya wakaazi wenye ghadhabu wa eneo la mwangaza, kuifunga.

Haya yamejiri baada ya ubomozi wa nyumba, jambo lililowapelekea makumi ya wakaazi kukesha nje usiku wa kuamkia jumapili.
Kufuatia ubomozi huo, ambao ulianzia mida za saa tisa usiku wa jumamosi- umepelekea kuchomwa kwa magari mawili– tingatinga lililokuwa likibomoa, pamoja na lori lililobebea tingatinga hilo.

Aidha, kuta za ploti iliyokokaribu na eneo la tukio hilo lilibomolewa, wakaazi wakisema kuwa ploti hiyo inamilikiwa na kiongozi mmoja wa kaunti ya Isiolo, wakihisi kwamba aliwatelekeza bila kuwapa usaidizi.
Kupitia kwa njia ya simu, OCPD wa Isiolo ya kati, bwana Kariuki- amesema kuwa ubomozi huo ulitekelezwa kufuatia agizo la Korti.

Maafisa wa polisi, walilazimika kutumia vitoa machozi na kupiga risasi hewani, ili kuwatawanya wakaazi waliokuwa wakizuia ubomozi huo.
Sasa wakaazi wamewataka viongozi wa kaunti kujitokeza ili kuzungumzia swala hilo.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...