Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wakazi wa Isiolo wanufaika kwa millioni kumi na nne wakitakiwa kupambana na...

Wakazi wa Isiolo wanufaika kwa millioni kumi na nne wakitakiwa kupambana na virusi vya corona

Washikadau wa baadhi ya idara zinazoshiriki katika vita dhidi ya covid 19 katika kaunti ya Isiolo wamewaomba wakazi wa Isiolo kutilia mkazo katika juhudi zao za kupambana na  covid 19.

Wakiongozwa na Kamishna wa kaunti hii Geoffrey Omoding, Gavana Mohamed kuti na waziri wa afya katika kaunti  ya Isiolo wario galma,  wamesema kuwa kwa sasa makali ya covid 19 yameanza kushuhudiwa kwa wingi katika kaunti hii.

Viongozi hao walizungumza jumanne mjini Isiolo walipokuwa wanazindua zoezi la kuwasaidia wakazi wa kaunti hii waliohadhirika na makali ya covid 19.

wakaazi kwa sasa wamenufaika na hundi la shillingi milioni 14,190,000, sabuni za kunawiia mikono, vifaa vya kupimia joto na bidhaa zingine muhimu za kusaidia katika vita dhidi ya covid 19.

Msaada huu ulipeanwa kwa kaunti ya Isiolo kutoka kwa serikali ya marekani kupitia shirika la USAID

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...