Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Watu Kumi wakamatwa katika kaunti ya Isiolo na kufikishwa mahakamani

Watu Kumi wakamatwa katika kaunti ya Isiolo na kufikishwa mahakamani

Watu kumi walikamatwa na maafisa wa polisi katika kaunti ya Isiolo na kufikishwa kwenye mahakama  ya isiolo. Kumi hao walishtakiwa kwa kosa la kukaidi amri ya kafyu siku ya jumatatu.

Watu hao ambao ni Elias Muthomi, Musa sama, Mohamed aden, Cyprian okunja, Fridah nkirote, Wiliam mbweva, Aden abdi, Boru wako, Rigan mwiti na Hussein Mohamed  walifikishwa mbele ya hakimu Evanson Ngige  kwa kupatikana wakirandaranda mjini Isiolo masaa ya kafyu saa tano  usiku.

“kwa kukubali mashtaka mtatozwa faini ya shilingi elfu tano kila mmoja au mtumikie kifungu cha siku 21”  Hakimu Ngige alisema

Hata hivyo mmoja wao aliwachiliwa kwa kuwasilisha kadi ya kazi kwani alikuwa ametoka kazini masaa hayo.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...