Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za kihistoria zinazohusiana na kipande cha ardhi katika eneo hilo.

Wakizungumza na wanahabari mjini Isiolo wakaazi hao wamedokeza kuwa ardhi waliyokuwa wakilisha mifugo wao imenyakuliwa.

“Tumekuja kuwasilisha malalamishi yetu kwa NLC na tunatumai kuwa wataangazia malalamishi yetu yataangaliwa na turejeshewe ardhi yetu.” Wakaazi wasema

Aidha afisa msimamizi wa NLC Muhammud Sharrif amewahakikishia wakaazi wa Burat kuwa malalamishi yao yatashughulikiwa huku akitoa wito kwa maeneo yaliyobaki kuwasilisha. Tume hiyo imepokea malalamishi manne ya hivi majuzi ikiwa kutoka kwa jamii ya Samburu.

“Tutahakikisha tumewasilisha malalamishi ya wakaazi wa Burat na tunaomba jamii wanayohisi wakona malalamishi wawasilishe kabla ya kesho.” Shariff asema

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

Watu Kumi wakamatwa katika kaunti ya Isiolo na kufikishwa mahakamani

Watu kumi walikamatwa na maafisa wa polisi katika kaunti ya Isiolo na kufikishwa kwenye mahakama  ya isiolo. Kumi hao walishtakiwa kwa kosa...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

HOSPITALI YA AVI-MATERCARE YAPOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID 19

Hospitali ya AVI Matercare kaunti ya Isiolo Ijumaa wiki hii imepokea ufadhili wa vifaa vya kujikinga kutokana na maambukizi ya COVID 19...

TRUE, Poultry farming supports over 160 households in Uasin Gishu County

A Facebook post claiming that poultry farming supports over 160 households in Uasin Gishu county is true based on a study conducted...

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...