Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Watoto walio na ulemavu wa kutosikia wanufaika kwa vifaa vya...

Watoto walio na ulemavu wa kutosikia wanufaika kwa vifaa vya kuwasaidia kusikia

Ni afueni kwa watoto saba walio na ulemavu wa kutosikia katika shule ya watoto, eneo la camp-garba wadi ya ngaremara kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya watoto hao kupata ufadhili wa vifaa vya kuwasaidia kusikia.

Ni msaada ambao ulitolewa na muungano wa kutetea na kushughulikia  watu wasio na uwezo wa kusikia humu nchini, wakati wa maadhimisho ya siku ya watu walio  na changamoto ya kusikia.

George gachanja ni mratibu wa program ya muungano huo.

“Tunafurahia kusherehekea siku ya watoto wasio na uwezo wa kusikia na tumeleta vifaa saba vya kuwasaidia kusikia.” Gachanja alisema

Alipokuwa akizungumuza na Radio Shahidi wakati wa maadhimisho hayo, Mratibu huyo alisema muungano wao unatoa ufadhili wa elimu kwa watoto waliotoka familia masikini na hivo kuwahimiza wazazi walio na watoto walio na ulemavu kuwapeleka wanao shuleni ili wapate usaidizi.

“Tunahimiza Wazazi kupeleka watato wanaoishi na ulemavu shuleni kisha watapata msaada wa kulipa karo watakapokuwa shuleni.” Gachanja asema

RELATED ARTICLES

MAAFISA WA EACC WAANZISHA RASMI MIKUTANO NA SEKTA MBALI MBALI ZA SERIKALI KATIKA KAUNTI YA ISIOLO

Mamlaka ya kupambana na ufisadi EACC, jumatatu  ilizindua rasmi mikutano katika  kanda ya  juu mashariki mwa nchi, na sekta mbalimbali...

“KUTI MUST GO!!!” A failed government or attention seeking?

As you take a walk around Isiolo town, for the past few months- you will see writings captioned "KUTI MUST GO!!!" On...

Wakaazi wa bullapesa walalamikia maendeleo duni, huku mwakilishi wao wa wadi akikosa kuhudhuria kikao

Wakaazi wa Bullapesa katika kaunti ya Isiolo wamelalamikia maendeleo duni katika wadi hiyo. Wakiongozwa na viongozi wa kamati ya kupanga maendeleo ya...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

MAAFISA WA EACC WAANZISHA RASMI MIKUTANO NA SEKTA MBALI MBALI ZA SERIKALI KATIKA KAUNTI YA ISIOLO

Mamlaka ya kupambana na ufisadi EACC, jumatatu  ilizindua rasmi mikutano katika  kanda ya  juu mashariki mwa nchi, na sekta mbalimbali...

“KUTI MUST GO!!!” A failed government or attention seeking?

As you take a walk around Isiolo town, for the past few months- you will see writings captioned "KUTI MUST GO!!!" On...

Wakaazi wa bullapesa walalamikia maendeleo duni, huku mwakilishi wao wa wadi akikosa kuhudhuria kikao

Wakaazi wa Bullapesa katika kaunti ya Isiolo wamelalamikia maendeleo duni katika wadi hiyo. Wakiongozwa na viongozi wa kamati ya kupanga maendeleo ya...

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATOA HUDUMA ZA AFYA BILA MALIPO KWA WAKAZI WA ISIOLO

Story By: Kelvin Mwingirwa Wakaazi wa eneo la bulapesa katika kaunti ya Isiolo Alhamisi walipokea huduma za matibabu ya...