Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News WAKAZI WA ISIOLO WAOMBWA KUTOA TAARIFA KWA POLISI KUHUSU WACHOCHEZI

WAKAZI WA ISIOLO WAOMBWA KUTOA TAARIFA KWA POLISI KUHUSU WACHOCHEZI

Wakazi wa Isiolo wametakiwa kutoa taarifa kuhusu mwanasiasa yeyote anayenuia kuvuruga Amani kwa njia ya kuwahonga vijana ili kuzua rabsha.

Akiongea na Radio Shahidi kwa njia ya kipekee, naibu kamishena wa kaunti ndogo ya Isiolo ya kati Kefa Marube amesema kwamba mwanasiasa atakayepatikana na hatia ya kuvuruga amani kwa kuwatumia vijana atachukuliwa hatua za kisheria.

Visa vya vijana kuzua vurugu na kuwazomea wanasiasa vilishuhudiwa katika kaunti ya Isiolo wakati wa ziara ya kiongozi wa ODM Raila Odinga na vilevile naibu wa rais William Ruto.

Huku akipeana namba yake binafsi ya simu, Marube aliwarai wananchi wasiogope kutoa taarifa muhimu kwa vitengo vya usalama.

Kuhusu masuala ya elimu naibu kamishena aliwataka wazazi kuwa mstari wa mbele kuwapeleka wanao shuleni. Kwa upande wake, mwenyekiti wa machifu kaunti ya Isiolo Hassan Okicha Diba aliwaomba wakazi wa kaunti hii kuvumiliana wakati huu wa joto la siasa.

RELATED ARTICLES

MAAFISA WA EACC WAANZISHA RASMI MIKUTANO NA SEKTA MBALI MBALI ZA SERIKALI KATIKA KAUNTI YA ISIOLO

Mamlaka ya kupambana na ufisadi EACC, jumatatu  ilizindua rasmi mikutano katika  kanda ya  juu mashariki mwa nchi, na sekta mbalimbali...

“KUTI MUST GO!!!” A failed government or attention seeking?

As you take a walk around Isiolo town, for the past few months- you will see writings captioned "KUTI MUST GO!!!" On...

Wakaazi wa bullapesa walalamikia maendeleo duni, huku mwakilishi wao wa wadi akikosa kuhudhuria kikao

Wakaazi wa Bullapesa katika kaunti ya Isiolo wamelalamikia maendeleo duni katika wadi hiyo. Wakiongozwa na viongozi wa kamati ya kupanga maendeleo ya...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

MAAFISA WA EACC WAANZISHA RASMI MIKUTANO NA SEKTA MBALI MBALI ZA SERIKALI KATIKA KAUNTI YA ISIOLO

Mamlaka ya kupambana na ufisadi EACC, jumatatu  ilizindua rasmi mikutano katika  kanda ya  juu mashariki mwa nchi, na sekta mbalimbali...

“KUTI MUST GO!!!” A failed government or attention seeking?

As you take a walk around Isiolo town, for the past few months- you will see writings captioned "KUTI MUST GO!!!" On...

Wakaazi wa bullapesa walalamikia maendeleo duni, huku mwakilishi wao wa wadi akikosa kuhudhuria kikao

Wakaazi wa Bullapesa katika kaunti ya Isiolo wamelalamikia maendeleo duni katika wadi hiyo. Wakiongozwa na viongozi wa kamati ya kupanga maendeleo ya...

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATOA HUDUMA ZA AFYA BILA MALIPO KWA WAKAZI WA ISIOLO

Story By: Kelvin Mwingirwa Wakaazi wa eneo la bulapesa katika kaunti ya Isiolo Alhamisi walipokea huduma za matibabu ya...