Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATOA HUDUMA ZA AFYA BILA MALIPO KWA WAKAZI...

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATOA HUDUMA ZA AFYA BILA MALIPO KWA WAKAZI WA ISIOLO

Story By: Kelvin Mwingirwa

Wakaazi wa eneo la bulapesa katika kaunti ya Isiolo Alhamisi walipokea huduma za matibabu ya bure, kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali.

Mpango huo ulioongozwa na shirika la Pepo la Tumaini, women arising na shirika la kina mama jangwani afya nyumbani, umenufaisha zaidi ya watu mia tano sitini na wanne.

“Watoto wengi ikiwemo wale wa mtaani, wameadhirika mno kiafya kwa sababu ya umaskini na pia watu wengi hawawezi kufika mahospitalini hili kupata huduma hiyo ya kiafya” alisema Hadija Omar Lama ambaye ni mwanzilishi wa mradi wa Pepo la Tumaini,

Daktari James muriithi ambaye ni mmoja wa madakatari waliokua wakitoa huduma hiyo, alisema wenyeji wa mtaa huo walikua wakikumbwa na magonjwa kama vile kichomi na utapia mlo.

“Tumekita kambi hapa ili kujaribu kuokoa hali. Watu wengi [katika mtaa huu] hasa watoto wadogo wanasumbuliwa na aina mbalimbali za maradhi,” alisema Muriithi.

Aidha daktari huyo alisema vijana wengi walikumbwa na magonjwa kama vile ya zinaa na ukimwi, hivyo madaktari walikuwa wakitoa mafunzo ya kuwaelimisha jinsi ya kujiepusha na kujikinga.

RELATED ARTICLES

MAAFISA WA EACC WAANZISHA RASMI MIKUTANO NA SEKTA MBALI MBALI ZA SERIKALI KATIKA KAUNTI YA ISIOLO

Mamlaka ya kupambana na ufisadi EACC, jumatatu  ilizindua rasmi mikutano katika  kanda ya  juu mashariki mwa nchi, na sekta mbalimbali...

“KUTI MUST GO!!!” A failed government or attention seeking?

As you take a walk around Isiolo town, for the past few months- you will see writings captioned "KUTI MUST GO!!!" On...

Wakaazi wa bullapesa walalamikia maendeleo duni, huku mwakilishi wao wa wadi akikosa kuhudhuria kikao

Wakaazi wa Bullapesa katika kaunti ya Isiolo wamelalamikia maendeleo duni katika wadi hiyo. Wakiongozwa na viongozi wa kamati ya kupanga maendeleo ya...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

MAAFISA WA EACC WAANZISHA RASMI MIKUTANO NA SEKTA MBALI MBALI ZA SERIKALI KATIKA KAUNTI YA ISIOLO

Mamlaka ya kupambana na ufisadi EACC, jumatatu  ilizindua rasmi mikutano katika  kanda ya  juu mashariki mwa nchi, na sekta mbalimbali...

“KUTI MUST GO!!!” A failed government or attention seeking?

As you take a walk around Isiolo town, for the past few months- you will see writings captioned "KUTI MUST GO!!!" On...

Wakaazi wa bullapesa walalamikia maendeleo duni, huku mwakilishi wao wa wadi akikosa kuhudhuria kikao

Wakaazi wa Bullapesa katika kaunti ya Isiolo wamelalamikia maendeleo duni katika wadi hiyo. Wakiongozwa na viongozi wa kamati ya kupanga maendeleo ya...

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATOA HUDUMA ZA AFYA BILA MALIPO KWA WAKAZI WA ISIOLO

Story By: Kelvin Mwingirwa Wakaazi wa eneo la bulapesa katika kaunti ya Isiolo Alhamisi walipokea huduma za matibabu ya...