Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News RADIO SHAHIDI YANG'AA KATIKA KUZA AWARDS 2021

RADIO SHAHIDI YANG’AA KATIKA KUZA AWARDS 2021

Kituo cha Radio Shahidi kwa mara nyingine kimeibuka kituo bora katika upeperushaji wa matangazo bora ya elimu kwa jamii haswa wakati huu wa njanga la Corona katika tuzo za Kuza Awards za mwaka huu. 

Kwenye hafla iliyofanyika Ijumaa jijini Nairobi, Radio Shahidi imeibuka mshindi wa tuzo hilo katika kitengo cha mzalendo mkuu. Tuzo hii inajiri miezi michache tu baada ya Radio Shahidi kuibuka kituo bora kwenye tuzo za Digiredio shabiki awards mwaka jana.

Kuza awards ni tuzo ambazo uandaliwa kila mwaka na mamlaka ya mawasiliano nchini(CAK) ambazo utuza vyombo vya habari nchini viliobobea katika upeperushaji wa matangazo ya kuaminika na bora zaidi kwa kuzingatia kanuni na masharti za mamlaka hiyo. Kauli mbiu ya mwaka huu ni kukuza tamaduni zetu kwa vipindi. Makala ya mwaka huu ni ya nne tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.

(Kwa maoni, swali au malamishi wasiliana nasi kupitia 0746113746)

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...