Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News COVID 19:WAAKAZI MJINI ISIOLO WAPUUZA MASHARTI YA KUDHIBITI KORONA

COVID 19:WAAKAZI MJINI ISIOLO WAPUUZA MASHARTI YA KUDHIBITI KORONA

Baadhi ya wakaazi katika kaunti ya Isiolo, wameonekana kulegeza masharti ya kujikinga dhidi ya virusi vya Corona. Katika ziara iliyofanywa na meza ya habari ya radio shahidi katika maeneo kadha mjini Isiolo, wakaazi wengi wameonekana kutupilia mbali masharti ya kujikinga dhidi ya virusi hivi.

Katika mji wa Isiolo maduka kadha na maeneo ya umma hayana maji ya kunawia mikono huku baadhi ya wakaazi wakionekana kutembea na kutangamana kwa ukaribu bila kuvalia barakoa. Aidha, Vyombo vya usalama vimeonekana vikitekeleza masharti haya kwa kuwakamata wanaokiuka masharti ya corona.

Haya yamejiri huku kaunti ya Isiolo ikiripoti visa saba Jumapili , ambayo ni idadi kubwa kuwahi kuripotiwa kwa muda wa mwezi mmoja sasa. Kufikia sasa kaunti ya Isiolo imeripoti visa mia tatu tisini na vinne vya virusi vya corona tangia mwezi machi mwaka jana.

(Kwa maoni, swali au malalamishi wasiliana nasi kupitia 0746113746)

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...