Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News WANAHARAKATI WAWATAKA VIONGOZI KUZITUMIA HELA ZA UMMA VYEMA

WANAHARAKATI WAWATAKA VIONGOZI KUZITUMIA HELA ZA UMMA VYEMA

Wanaharakati   katika kaunti ya Isiolo, wamezitaka serikali za kaunti ya Isiolo  na ile ya  kitaifa kuhakikisha matumizi mema ya fedha zilizonuiwa katika kupunguza makali kwa  biashara na kikazi kwa walioadhiriwa na virusi vya corona. 

Wakizungumza na Radio Shahidi, Valentine Nyaguthie ni miongoni mwa wanaharakati ambao waliwataka viongozi    kuwajali wananchi wake na kuhakikisha usaidizi unawafikia wanaohitaji.   Vile vile wanaharakati hao wameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo   kuanza kutekeleza sheria zilizopendekezwa  kwa matumizi na uelekezi wa vikao vya kuwahusisha umma.

Serikali kuu mwaka huu ilikopa pesa kutoka shirika la International Monetary Fund, kwa madhumuni ya kuwasaidia wananchi kuziokoa biashara na kazi zao.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...