Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News BALOZI WA VITA DHIDI YA POLIO AWATAKA WAZAZI KUWARUHUSU WANAO KUPOKEA CHANJO

BALOZI WA VITA DHIDI YA POLIO AWATAKA WAZAZI KUWARUHUSU WANAO KUPOKEA CHANJO

Balozi wa vita dhidi ya ugonjwa wa polio katika kaunti ya Isiolo, Mohamed Abdulahi, almarufu Medize Medize, amewaomba wazazi kuwaruhusu wanao kupewa chanjo ya polio na wahudumu wa afya wanaozunguka wakipeana chanjo hiyo kwenye kampeni ambayo ilikuwa ikiendelea kutoka tarehe 22 mwezi mei, hadi tarehe 26. 

Vile vile  Medize  aliwahakikishia wakaazi  kuwa chanjo hiyo inapeanwa bila malipo na ni salama na muhimu ili kuwakinga watoto kutokana na Polio. Aidha  Aliwaomba wazazi kuwapeleka watoto wao katika zahanati na hospitali ata baada ya kukamilika kwa kampeni hiyo.

Kaunti ya Isiolo ni miongoni mwa kaunti kumi na tatu nchini zilizokuwa zikiendeleza kampeni hiyo. Baadhi ya kaunti nyingine, ni ile ya; Garissa, Kajiado, Mandera, Wajir, Tana River, Kilifi, Kitui, Mombasa na Nairobi. Kampeni hiyo ambayo ilikuwa ikiendelezwa na shirika la watoto la muungano  wa mataifa – UNICEF, ilitarajia kuwafikia watoto millioni tatu.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...