Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News AFYA: HOSPITALI ZA KENYA ZINA UWEZO WA KUFANYA UPASUAJI WA FIGO, ASEMA...

AFYA: HOSPITALI ZA KENYA ZINA UWEZO WA KUFANYA UPASUAJI WA FIGO, ASEMA MTAALAM

Huduma zinazohusisha matibabu ya figo, ikiwemo kubadilisha figo, zinapatikana nchini Kenya- kinyume na matarajio ya wananchi Wengi.

Akiwahutubia wanahabari katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya Kaunti ya Isiolo, prof. Seth O Makigeyo ambaye ndiye mkufunzi pekee yake nchini wa maswala ya figo, aliwahakikishia wananchi kuwa huduma za kubadilisha figo zaweza kufanyika katika hospitali ya Kenyatta na Ile ya Moi Eldoret, kinyume na matarajio ya wengi waliolazimika kutafuta huduma hizi nchini India.

Wakizungumza katika hafla hiyo baada ya kuyapokea makumi ya wataalam kutoka hospitali ya Kenyatta waliokuwa wakishirikian na wenzao kutoka Isiolo, Waziri wa afya Wario Galma na vile vile Afisa mkuu wa afya, Ibrahim Alio, waliwahakikishia wananchi kuwa shugli za kusafisha damu kupitia dialisisi (dialysis) inaendelea katika hospitali ya Isiolo na ina wataalam wa kuwahudumia wananchi.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...