Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News OCS ASHTAKIWA KWA MAUAJI YA SEREMALA GARISSA MJINI

OCS ASHTAKIWA KWA MAUAJI YA SEREMALA GARISSA MJINI

Mkuu wa kituo kimoja cha polisi katika kaunti ya Garissa amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la mauaji.

Mbele ya Mahakama kuu ya Garissa, OCS Michael Munyalo ameshtakiwa kwamba mnamo tarehe 16 Mei mwaka huu, alimpiga risasi na kumuua Morris Kimathi, seremala katika eneo la DRC kwenye barabara ya Bula Sheikh mjini Garissa.

Hata hivyo Munyalo amekana mashtaka hayo mbele ya jaji Abida Aroni na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni moja au mthamini wa kiwango sawa na hicho.

Kulingana na walioshuhudia tukio hilo, mwenda zake Kimathi mwenye umri wa miaka 28 alipigwa risasi mgongononi alipokuwa akivuka barabara, muda mfupi baada ya kulumbana na mkuu huyo wa polisi kwenye baa.

Kesi hiyo itatajwa tena tarehe 7 Julai mwaka huu

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...