Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News ILANI YATOLEWA KWA WAKAAZI WANAOWACHILIA MIFUGO WAO MJINI

ILANI YATOLEWA KWA WAKAAZI WANAOWACHILIA MIFUGO WAO MJINI

Ilani ya siku saba imetolewa kwa wote wanaowafuga wanyama na kuwaachilia kuingia mjini, ilani ambayo itasalia hadi alhamisi  tarehe kumi mwezi huu. Kulingana na meneja wa manispa ya Isiolo Osman Halake, watakaokaidi agizo hilo watalazimika kupigwa faini ya shilingi elfu kumi na tano kwa kila mnyama.

Haya yalijiri baada ya wafugaji wengi kuonekana kuwaachilia mifugo wao hasa ngombe  sokoni, na  ambao wamekuwa kero sana – hasa kwa wafanyibiashara wanaouza mazao ya mashamba kama vile mboga, na matunda.

Aidha, Osman aliwataka wakaazi wa manispaa ya Isiolo kudumisha usafi wa mazingira kwa kuhakikisha kuwa wanautupa uchafu mahali panapostahili. Vile vile wakaazi walitakiwa kuwa katika mstari wa mbele kuhakikisha kuwa wanahakikisha usafi maeneo yao.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...