Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News MIFUGO WALIOIBIWA WAREJESHWA

MIFUGO WALIOIBIWA WAREJESHWA

Mbuzi sabini na wanne kati ya 87 walioibiwa kwenye shambulio la Jumanne usiku, lililopelekea kujeruhiwa kwa  watu wawili katika eneo la mwangaza kaunti ya Isiolo, wamepatikana. 

Akithibitisha kisa hicho kamishna wa kaunti ya Isiolo Herman Shambi alisema kuwa mbuzi hao walipatikana  katika wadi ya Burat jumatano jioni, ingawaje idadi ya watu wasiojulikana waliokuwa wakiwalisha mifugo hao walitorokea mafichoni.

Hata hivyo, Shambi aliwahakikishia wakaazi kuwa waliohusika watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali na kushtakiwa kwa wizi wa kimabavu kwa bunduki walizozitumia.

Wakati uo huo watu wawili walioumizwa kwa risasi wakati wizi huo ulipokuwa ukitekelezwa, akiwemo mchungaji wa kanisa moja mjini Isiolo na mwanafunzi wa darasa la saba wanaendelea kuuguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Isiolo.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...