Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Baraza la dini mbalimbali isiolo lahubiri amani kabla ya uchaguzi mkuu

Baraza la dini mbalimbali isiolo lahubiri amani kabla ya uchaguzi mkuu

Huku ikisalia miezi kumi na tatu wakenya kushiriki kwenye zoezi la kupiga kura kuwachagua viongozi watakaoliongoza taifa kwa miaka mitano ijayo, viongozi wa kidini katika kaunti ya Isiolo wamewahakikishia wakaazi kuwa watasaidia kudumisha amani kabla na baada ya uchaguzi.

Mwenyekiti wa Baraza la dini mbalimbali katika kaunti ya Isiolo, Ahmed Sett amefichua kwamba wana mpango wa kufanya mikutano mara kwa mara kuhimiza wakaazi kudumisha amani.

Wakati uo huo Sett amewahimiza vijana kuwaepuka viongozi ambao lengo lao ni kuwatumia kuzua vurugu wakati wa mikutano ya kisiasa

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...