Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News National News HAKUNA NYONGEZA YA MSHAHARA KWA MIAKA MIWILI, SRC YASEMA

HAKUNA NYONGEZA YA MSHAHARA KWA MIAKA MIWILI, SRC YASEMA

Wafanyakazi wote wa uma watalazimika kusubiri hadi mwaka 2023 iwapo watataka kupata nyongeza yoyote ya mshahara.

Tume ya kuratibu mishahara SRC inasema kwamba imesitisha kwa muda wa miaka miwili, mabadiliko yoyote ya mishahara au malipo mengine kwa watumishi wa uma na wafanyakazi wa serikali kutokana na kudorora kwa uchumi kulikosababishwa na janga la Covid 19.

Mwenyekiti wa SRC Lyn Mengich amesema kwamba hakutakuwa na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa uma kwa miaka miwili hadi hali ya uchumi iweze kustawika.

Hata hivyo, amesema kwamba mashirika yaliyo kwenye sekta ya uma yanaweza kutathmin kuhusu kukweza wafanyakazi wao vyeo ama daraja za kazi, lakini sharti bajeti zao zithibitishwe na SRC.

RELATED ARTICLES

RAIS KENYATTA AANDAA MKUTANO BAINA YA RAILA NA VINARA WA ONE KENYA

Rais Uhuru Kenyatta leo amekutana na viongozi watano wa vyama vya kisiasa humu nchini. Ni mkutano ambao umekisiwa wa kujaribu kuwaunganisha Raila...

KAUNTI ZOTE ZIWE NA MAHAKAMA KUU, ASEMA JAJI MKUU

Jaji mkuu Martha Koome amesisitiza haja ya kaunti zote nchini kuwa na mahakama kuu. Koome ameiambia baraza la magavana kwamba majimbo saba...

MWANAUME ANAYEDAIWA KUWATEKA NYARA NA KUUWA WATOTO 10 AKAMATWA NAIROBI

Makachero wa uchunguzi wa jinai DCI wanamzuilia mwanaumwe mwenye umri wa miaka 20 anayeshukiwa kuwateka nyara na kuwaua watoto mjini Nairobi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...