Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News WATU WAWILI WAUWAWA KWENYE KISA CHA WIZI WA MIFUGO KAUNTI YA MARSABIT

WATU WAWILI WAUWAWA KWENYE KISA CHA WIZI WA MIFUGO KAUNTI YA MARSABIT

Watu wawili wameuawa katika kaunti ya Marsabit baada ya wavamizi ambao wanadaiwa kuwa wezi wa mifugo kuvamia eneo la Badassa kwenye eneo bunge la Saku mapema leo. Wavamizi hao waliokuwa wamejihami kwa silaha kali wanadaiwa kuiba mifugo wasiojulikana idadi.

Akizungumza baada ya tukio hilo Naibu kamishna wa kaunti ya marsabit Patrick Muriira amesema kuwa wavamizi hao waliwaua wafugaji kwenye eneo la midrock ambalo linatumiwa kama eneo la kuwanywesha mifugo maji. Waliouwawa ni wazee wa miaka 61 na 68.

Aidha naibu kamishena huyo amesema kuwa maafisa wa polisi wameanzisha msako wa kuwakamata wavamizi hao ambao wanadaiwa kuwa wametoka kwenye eneo bunge jirani. Amesema kuwa maficho ya wavamizi hao ni msitu wa marsabit.

Miili ya waasiriwa imehifadhiwa kwenye hifadhi ya maiti ya hospitali ya rufaa ya marsabit.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...