Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News WAKAAZI ISIOLO WAZIDI KUMTAKIA MEMA KAMISHNA SHAMBI

WAKAAZI ISIOLO WAZIDI KUMTAKIA MEMA KAMISHNA SHAMBI

Wakaazi na viongozi katika kaunti ya Isiolo, wanazidi kumumininia sifa nzuri Kamishna Herman Shambi na kumtakia mema katika uteuzi wake kwenye Kaunti ya Nandi. Askofu Bishop Kalunyu na vile vile Mwenyekiti wa baraza la viongozi wa dini Ahmed Siet, walimtaja Shambi kama kamishna aliyependa kuwaunganisha watu na kusaidia katika vita dhidi ya ukeketaji kwa wanawake. Vile vile wakaazi wengi kupitia mitandao ya kijamii, walimtaja Shambi kama kiongozi aliyechangia sana katika kudumisha Amani katika kaunti ya Isiolo.

Kamishna shambi alitumwa kuhudumu katika kaunti ya Nandi kama Kamishna wa kaunti hiyo. Nduru za kuaminika zinasema kuwa uenda Geoffrey Omoding akawa ndiye kamishna mtarajiwa atakaye kuja kuhudumu katika kaunti ya Isiolo.

Baadhi ya matatizo anayotarajiwa kusuluhisha katika kaunti hii ni; Utovu wa usalama hasa kwa wahudumu wa bodaboda, wizi wa mifugo na vile vile mihadarati.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...