Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Mtetezi wa haki za kibinadamu kaunti ya Isiolo amuomba matiangi kusuluhisha suala...

Mtetezi wa haki za kibinadamu kaunti ya Isiolo amuomba matiangi kusuluhisha suala ya ukosefu wa usalama.

Mtetezi wa haki za kibinadamu ambaye anahudumu pia kama katibu mwandalizi wa chama cha third way alliance Andrew Mola Ilere amemwandikia barua waziri wa maswala ya ndani ya nchi na usalama Daktari Fred Matiangi  kuhusiana na visa vya utovu wa usalama kwenye mpaka wa kaunti ya isiolo na kaunti za Marsabit, samburu na Mandera.

Ilere alieelezea masikitiko ya wakazi wa kaunti ya Isiolo ambao hivi karibuni wameshuhudia visa vya uvamizi, jambo ambalo limelemaza shughuli katika kaunti hii.

Aidha Ilere alimwomba waziri Matiangi kueleza iwapo upo uwezekano wa watu walio na ushawishi wa kisiasa na kifedha katika kaunti ya Isiolo kuhusika kwenye uvamizi, kwani idara za usalama hazijaweza kutatua suala hilo.

Watu takriban 40 wameyapoteza maisha yao kaunti ya Isiolo mwaka huu kufuatia visa vya uvamizi, mizozo ya kijamii na wizi wa mifugo.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...