Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News Wito watolewa kwa vijana Kaunti ya Isiolo kuungana kutetea haki zao.

Wito watolewa kwa vijana Kaunti ya Isiolo kuungana kutetea haki zao.

Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti ya Isiolo kuungana ili kupigania haki zao ambazo kwa muda hazijakuwa zikishughulikiwa.

Haya yamesemwa na mwenyekiti wa baadhi ya vikundi vya vijana kaunti ya Isiolo, Jumah Noor akiongea na Radio Shahidi kwa njia ya pekee.

Kulingana na Jumah, vijana katika kaunti hii wamekuwa wakitengewa mgao  wa fedha na serikali ya kaunti bila, ila hamna mafanikio yoyote.

kadhalika Jumah anadai kuwa hapo awali viongozi walikuwa wanasema kuwa hakuna sheria ya kugawa pesa jambo ambalo amesema limerekebishwa, kupitia sheria iliyotungwa na bunge la kaunti.

Sasa,  amewataka vijana kujua haki zao na kuzipigania ili kupata mgao wao.

RELATED ARTICLES

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Mwanaume apatikana ameuwawa eneo la Redcross

Hali ya woga imetanda katika eneo la Redcross wadi ya Bullapesa,kaunti ya Isiolo, hii ni baada ya mwili wa mwanamume mmoja mwenye...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...