Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News SERIKALI YA KAUNTI YA ISIOLO YAAHIDI KULIPA MADENI

SERIKALI YA KAUNTI YA ISIOLO YAAHIDI KULIPA MADENI

Afisa mkuu anayesimamia hazina ya kaunti Peter Ngechu amewaahidi wanakandarasi walioifanyia kazi serikali ya kaunti ya Isiolo kuwa hela zao zitalipwa hivi karibuni.

Akizungumza na meza ya habari ya radio shahidi katika kaunti ya Isiolo, Ngechu amesema kuwa serikali ya kaunti imeweka mikakati ya kuhakikisha kwamba shugli hiyo ya malipo haitahadhiriwa na siasa za mwaka ujao.

Ata hivyo, Ngechu amenyoshea kidole cha lawama kwa mtambo wa kulipia pesa za Umma(IFMIs) kwa kuchelewesha kuziachilia fedha.

Haya yamejiri huku  wanakandarasi wengi katika kaunti ya Isiolo wakilalama kutolipwa baada ya kutoa huduma kwa serikali ya kaunti.

RELATED ARTICLES

Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Mazao ya vyakula yanatarajiwa kuongezeka kati ya mwaka wa 2018 hadi 2022 Ongezeko hili linatarajiwa   kufuatia vijana katika kaunti...

Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Seneta mteule Halake Abshiro, ameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo kutenga fedha Zaidi  katika bajeti yake kwa manufaa ya wakaazi wanaoishi katika...

NYOTA YA MATUMAINI KWA VIJANA WANAOITAJI KUJIKIMU NA KOZI ZA KIUFUNDI

Huku Kenya ikizidi kufanikisha ruwaza ya mwaka wa elfu mbili na thelathini, vijana wanazidi kutakiwa kujikimu na ujuzi wa kiteknikali ili waweze...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Mazao ya vyakula yanatarajiwa kuongezeka kati ya mwaka wa 2018 hadi 2022 Ongezeko hili linatarajiwa   kufuatia vijana katika kaunti...

Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Seneta mteule Halake Abshiro, ameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo kutenga fedha Zaidi  katika bajeti yake kwa manufaa ya wakaazi wanaoishi katika...

NYOTA YA MATUMAINI KWA VIJANA WANAOITAJI KUJIKIMU NA KOZI ZA KIUFUNDI

Huku Kenya ikizidi kufanikisha ruwaza ya mwaka wa elfu mbili na thelathini, vijana wanazidi kutakiwa kujikimu na ujuzi wa kiteknikali ili waweze...

Makadirio ya mapato ya Kaunti ya Isiolo.

Mapato ya Kaunti ya Isiolo yanatarajiwa kuongezeka kati ya 2017-2022.  Ongezeko hili linatarajiwa kuwa thabiti. Mwaka wa 2017/18...