Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News UMMA WASHAURIWA KUTONUNUA VIFAA VISIVYO NA RISITI

UMMA WASHAURIWA KUTONUNUA VIFAA VISIVYO NA RISITI

Idara ya Upelelezi wa Jinai DCI imetoa onyo kwa wananchi kutonunua bidhaa vya
kielekroniki kutoka duka zisizoidhinishwa kuuza bidhaa hizo.

Idara iyo imewataka wananchi kuhakikisha wanapewa risiti ya vifaa kama
rununu,televisheni,kompyuta na bidhaa nyinginezo kuzuia kujipata matatani.

Imeonya kuwa kuna wananchi waliojipata kortini kujibu mashtaka ya mauaji
kwani walinunua bidhaa za watu waliopatikana wameuawa.

“Hakikisha unaponunua vifaa hivi unapewa risiti iliyo na maelezo yote na
yanayoendana na kifaa ulichonunua,” idara iyo ilichapisha kwenye mtandao.

Kulingana na idara iyo, ununuzi wa vifaa vilivyoibiwa waweza kumpa mtu asiye na
hatia miaka kadhaa kortini kujibu mashtaka ya wizi wa kimambavu au hata
mauaji.

Vilevile wanaomiliki vifaa wanavyoshuku kuwa vya kuibiwa wametakiwa kupiga
ripoti kwenye vituo vya usalama au kwenye afisi ya Idara ya Upelelezi wa Jinai.

RELATED ARTICLES

HAKUNA NYONGEZA YA MSHAHARA KWA MIAKA MIWILI, SRC YASEMA

Wafanyakazi wote wa uma watalazimika kusubiri hadi mwaka 2023 iwapo watataka kupata nyongeza yoyote ya mshahara. Tume ya kuratibu...

SERIKALI YAONGEZA AMRI YA KAFYU KWA BAADHI ZA KAUNTI NCHINI

Serikali imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje wakati wa usiku almaarufu kafyu kwenye kaunti 13 humu nchini.

SERIKALI YAPONGEZA KANISA KATOLIKI KWA JUHUDI ZA KUBORESHA MAZINGIRA

Wizara ya mazingira na misitu nchini imepongeza azma ya kanisa katoliki la kupanda miti ili kuafikia asilimia 10 ya ardhi iliyo na...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

“JAMII YA AMERU ISIOLO TUSEME KWA SAUTI MOJA,’’MWENYEKITI WA NJURI NCHEKE ASEMA.

Wito umetolewa kwa jamii ya Ameru katika  kaunti ya Isiolo kudumisha amani na kutokubali kugawanyawa kwa misingi ya kimaeneo.

SENETA ABSHIRO AMTAKA MATIANG’I NA MUTYAMBAI KUTOA TAARIFA KUHUSU SHAMBULIZI ENEO LA MADOWALE.

Seneta mteule Abshiro Halakhe amemwomba waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Daktari Fred Matiangi, na inspekta generali wa polisi...

READINGS AT MASS TUESDAY 22 JUNE 2021

 12th Week in Ordinary Time Liturgical Colour: Green. First reading

St. Paulinus of Nola

22nd June Anyone who is praised in the letters of six or seven saints undoubtedly must be of extraordinary...

Recent Comments