Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home Uncategorized Ongezeko la visa vya mauaji ya kijamii lazua hofu nchini

Ongezeko la visa vya mauaji ya kijamii lazua hofu nchini

By Blessing Nzioka

Waziri wa masuala ya jinsia Margaret Kobia ameelezea wasiwasi wake kuhusiana na ongezeko la visa vya mauaji ya kijamii haswa wakati huu wa janga la corona.

Kulingana na waziri huyo kati ya mwezi Januari na Machi mwaka wa 2021 kumerekodiwa visa 877 vya mauaji ya kijamii huku kaunti za Nairobi, Kakamega, Kisumu, Nakuru and Kiambu zikirekodi idadi ya juu ya visa hivyo.

Kobia aliongeza kuwa mwisho wa mwaka 2020 kulirekodiwa visa 5,009 vya mauaji ya kifamilia ikilinganishwa na mwaka wa 2019 ambapo visa vilivyorekodiwa ni 1,411 pekee.

Aidha Kobia aliwarai wakenya kushirikiana na serikali ili kuhakikisha kuwa visa vya mauaji ya kifamilia vinapungua. Gavana wa kaunti ya Kitui Charity Ngilu pia alilaani vitendo hivyo vya mauaji ya wanawake huku akiunga mkono kauli ya kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ya kuwapo na mjadala wa kitaifa ili kuweza kusitisha mauaji hayo.

RELATED ARTICLES

St. Germanus of Paris

Germain was born near Autun in what is now France, under Burgundian control 20 years after the collapse of the Western Roman...

READINGS AT MASS FRIDAY 28 MAY 2021

 Readings at Mass Friday 28 May 2021 Eighth Week in Ordinary Time Liturgical...

RADIO SHAHIDI YANG’AA KATIKA KUZA AWARDS 2021

Kituo cha Radio Shahidi kwa mara nyingine kimeibuka kituo bora katika upeperushaji wa matangazo bora ya elimu kwa jamii haswa wakati huu...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Mazao ya vyakula yanatarajiwa kuongezeka kati ya mwaka wa 2018 hadi 2022 Ongezeko hili linatarajiwa   kufuatia vijana katika kaunti...

Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Seneta mteule Halake Abshiro, ameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo kutenga fedha Zaidi  katika bajeti yake kwa manufaa ya wakaazi wanaoishi katika...

NYOTA YA MATUMAINI KWA VIJANA WANAOITAJI KUJIKIMU NA KOZI ZA KIUFUNDI

Huku Kenya ikizidi kufanikisha ruwaza ya mwaka wa elfu mbili na thelathini, vijana wanazidi kutakiwa kujikimu na ujuzi wa kiteknikali ili waweze...

Makadirio ya mapato ya Kaunti ya Isiolo.

Mapato ya Kaunti ya Isiolo yanatarajiwa kuongezeka kati ya 2017-2022.  Ongezeko hili linatarajiwa kuwa thabiti. Mwaka wa 2017/18...