Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home Uncategorized Mswada wa kumuondoa gavana wa kaunti ya wajir wafikishwa kwenye bunge la...

Mswada wa kumuondoa gavana wa kaunti ya wajir wafikishwa kwenye bunge la kaunti

By Blessing Nzioka

Wawakilishi wa wadi wa kaunti ya Wajir jumatatu waliwasilisha mswada wa kumuondoa gavana Mohammed Abdi Mohammud kwa madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya afisi.

Uongozi  wa gavana Abdi  ulishtumiwa baada ya madai kuibuka kuwa hajahitimu na shahada kutoka chuo kikuu kama inavyohitajika kisheria.

Wawakilishi wadi 33 kati 49 waliwasilisha mswada wa kumuondoa gavana huyo mamlakani na ambapo mswada huo tayari ulisomwa kwa mara ya kwanza kwenye bunge la kaunti.

Gavana Abdi alitakiwa kufika mbele ya bunge la kaunti tarhe 28 mwezi Aprili ili kujitetea dhidi ya madai juu yake.

RELATED ARTICLES

St. Germanus of Paris

Germain was born near Autun in what is now France, under Burgundian control 20 years after the collapse of the Western Roman...

READINGS AT MASS FRIDAY 28 MAY 2021

 Readings at Mass Friday 28 May 2021 Eighth Week in Ordinary Time Liturgical...

RADIO SHAHIDI YANG’AA KATIKA KUZA AWARDS 2021

Kituo cha Radio Shahidi kwa mara nyingine kimeibuka kituo bora katika upeperushaji wa matangazo bora ya elimu kwa jamii haswa wakati huu...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Mazao ya vyakula yanatarajiwa kuongezeka kati ya mwaka wa 2018 hadi 2022 Ongezeko hili linatarajiwa   kufuatia vijana katika kaunti...

Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Seneta mteule Halake Abshiro, ameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo kutenga fedha Zaidi  katika bajeti yake kwa manufaa ya wakaazi wanaoishi katika...

NYOTA YA MATUMAINI KWA VIJANA WANAOITAJI KUJIKIMU NA KOZI ZA KIUFUNDI

Huku Kenya ikizidi kufanikisha ruwaza ya mwaka wa elfu mbili na thelathini, vijana wanazidi kutakiwa kujikimu na ujuzi wa kiteknikali ili waweze...

Makadirio ya mapato ya Kaunti ya Isiolo.

Mapato ya Kaunti ya Isiolo yanatarajiwa kuongezeka kati ya 2017-2022.  Ongezeko hili linatarajiwa kuwa thabiti. Mwaka wa 2017/18...