Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Felix Mulei

HAKUNA NYONGEZA YA MSHAHARA KWA MIAKA MIWILI, SRC YASEMA

Wafanyakazi wote wa uma watalazimika kusubiri hadi mwaka 2023 iwapo watataka kupata nyongeza yoyote ya mshahara. Tume ya kuratibu...

SERIKALI YAONGEZA AMRI YA KAFYU KWA BAADHI ZA KAUNTI NCHINI

Serikali imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje wakati wa usiku almaarufu kafyu kwenye kaunti 13 humu nchini.

SERIKALI YAPONGEZA KANISA KATOLIKI KWA JUHUDI ZA KUBORESHA MAZINGIRA

Wizara ya mazingira na misitu nchini imepongeza azma ya kanisa katoliki la kupanda miti ili kuafikia asilimia 10 ya ardhi iliyo na...

KANISA KATOLIKI LASISITIZA HAJA YA VIONGOZI KUHESHIMU SHERIA

Kanisa limeendelea kusisitiza haja ya viongozi na asasi za serikali kuheshimu sheria. Ni maafikio yaliyotangazwa na maaskofu wa kanisa katoliki nchini Kenya...

WATU WAWILI WAFARIKI HOSPITALINI HUKU WAUGUZI WAKISHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’

Familia mbili mjini Nanyuki, kaunti ya Laikipia wanalilia haki baada ya wagonjwa wawili kudaiwa kufariki walipokuwa kwa kukosa matibabu katika hospitali ya...

OCS ASHTAKIWA KWA MAUAJI YA SEREMALA GARISSA MJINI

Mkuu wa kituo kimoja cha polisi katika kaunti ya Garissa amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la mauaji. Mbele...

KWA NINI KUFUNGA MAKANISA? MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI WALALAMIKA

Kanisa limesikitishwa na hatua ya serikali la kufunga maeneo ya ibada kila wakati kunapokuwa na mkurupuko wa virusi hivyo katika baadhi ya...

KANISA LAKASHIFU VIONGOZI KUHUSU CHECHE ZA MANENO DHIDI YA MAHAKAMA

Kanisa Alhamisi 27 Mei lilipeana wosia wake kuhusu mdahalo unaoendelea nchini baada ya uamuzi wa mahakama kuharamisha mchakato wa kuifanyia marekebisho katiba...

GAVANA WA WAJIR AAHIDI KUIMARISHA SEKTA YA AFYA, MAJI NA ELIMU

Gavana mpya wa Wajir Ahmed Ali Muktar amesema kwamba atazipa kipaumbele sekta za Maji, afya na Elimu katika utawala wake. Kando na...

TOP AUTHORS

0 POSTS0 COMMENTS
1 POSTS0 COMMENTS
3 POSTS0 COMMENTS
0 POSTS0 COMMENTS
0 POSTS0 COMMENTS

Most Read

“JAMII YA AMERU ISIOLO TUSEME KWA SAUTI MOJA,’’MWENYEKITI WA NJURI NCHEKE ASEMA.

Wito umetolewa kwa jamii ya Ameru katika  kaunti ya Isiolo kudumisha amani na kutokubali kugawanyawa kwa misingi ya kimaeneo.

SENETA ABSHIRO AMTAKA MATIANG’I NA MUTYAMBAI KUTOA TAARIFA KUHUSU SHAMBULIZI ENEO LA MADOWALE.

Seneta mteule Abshiro Halakhe amemwomba waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Daktari Fred Matiangi, na inspekta generali wa polisi...

READINGS AT MASS TUESDAY 22 JUNE 2021

 12th Week in Ordinary Time Liturgical Colour: Green. First reading

St. Paulinus of Nola

22nd June Anyone who is praised in the letters of six or seven saints undoubtedly must be of extraordinary...