Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Jackline Mung'athia

29 POSTS0 COMMENTS

Msako mkali wa pombe haramu wafanyika Isiolo.

Idara ya NGAO katika kaunti ya Isiolo wamefanya msako wa pombe haramu katika eneo la Bula Pesa katika kaunti hii.

ONYO DHIDI YA VIONGOZI WA JAMII WANAOTOA MATAMSHI YA UCHOCHEZI

Onyo kali limetolewa dhidi ya wanasiasa wanaotumia viongozi wa jamii kuchochea wananchi kwani watachukuliwa hatua kali za kisheria. Viongozi...

SERIKALI ISIYOJALI, AMA WATU KUKOSA MAKAAZI? ;JALALA HATARI-ISIOLO

Jaa la takataka la Charko katika eneo la kambi garba kaunti ya Isiolo ni pahala ambapo binadamu hawezi tamani kuishi kutokana na...

Vijana 32 kaunti ya Isiolo wabadilisha mienendo yao ya matumizi ya mihadarati.

Vijana 40 katika kaunti ya Isiolo wameungana na kuunda kikundi kiitwacho "Tupendane" kwa lengo la kusaidia wasiojiweza na kuwahamasisha vijana dhidi ya...

NCHI YA-SAKATA UFISADI UKISALIA JINAMIZI KWA WAKENYA

Taifa la Kenya Alhamisi liliungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya vita dhidi ya ufisadi. Siku hii huadhimishwa terehe 9 mwezi...

WANABODABODA ISIOLO WATOFAUTIANA NA AMRI YA SERIKALI

Siku moja baada ya katibu mkuu katika wizara ya usalama wa kitaifa Karanja Kibicho kuweka makataa kwa wahudumu wa bodaboda kuwa na...

WAKAAZI WA ISIOLO MJINI WAKOSA MAJI KWA WIKI MBILI

Baada ya wakaazi wa mji wa Isiolo kukosa maji kwa muda wa wiki mbili zilizopita, Mkurugenzi wa kampuni ya maji katika kaunti...

Viongozi wa vijana wafanya kikao Isiolo kujadili maswala ya kujiinua kabla ya Uchaguzi.

Viongozi wa vijana kutoka kaunti ya TharakaNithi, Meru, Marsabit na Isiolo walikongamana katika kanisa moja katika kaunti ya Isiolo kwa madhumuni ya...

Wawaniaji wa uongozi Isiolo wahimizwa kushirikiana na kumteua kiongozi mmoja.

Wito umetolewa kwa wananchi kujitokeza kwa wingi na kujisajili kwani kura ni muhimu. Haya yanajiri huku mchakato wa usajili wa wapiga kura...

Viongozi walio na mazoea ya kuvuruga mikutano isiolo wazidi kushtumiwa

Kauli za kushtumu kisa ambacho kilitokea katika kaunti ya  Isiolo wakati wa ziara ya kinara wa odm raila, zimeendelea kutolewa wakati huu...

TOP AUTHORS

0 POSTS0 COMMENTS
8 POSTS0 COMMENTS
29 POSTS0 COMMENTS
0 POSTS0 COMMENTS
3 POSTS0 COMMENTS

Most Read

St. Emilie de Vialar

18th January St. Emilie de Vialar (Emily) was born in 1797 in Gaillac and ancient town in the south...

Readings at Mass Tuesday 18 January 2022

Second Week in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading 1 Samuel 16:1-13

WENYEKITI WA BODABODA ISIOLO KUSHIRIKIANA NA VITENGO VYA USALAMA ILI KUPELEKEA KUMALIZIKA KWA UHALIFU

Muungano wa wenyekiti wa wahudumu wa bodaboda Isiolo, umesema kushirikiana Pamoja na maafisa wa  kulinda usalama, ili kumaliza uhalifu katika kaunti hii....

Msako mkali wa pombe haramu wafanyika Isiolo.

Idara ya NGAO katika kaunti ya Isiolo wamefanya msako wa pombe haramu katika eneo la Bula Pesa katika kaunti hii.