Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Dennis Kiogora

8 POSTS0 COMMENTS

Wakazi wa Isiolo wanufaika kwa millioni kumi na nne wakitakiwa kupambana na virusi vya corona

Washikadau wa baadhi ya idara zinazoshiriki katika vita dhidi ya covid 19 katika kaunti ya Isiolo wamewaomba wakazi wa Isiolo kutilia mkazo...

CHANJO YA POLIO KUENDELEA HADI ALHAMISI, BAADA YA IDD

Washikadau katika sekta ya afya na wale wanaohusika katika vita dhidi ya maradhi ya polio wametangza kuwa zoezi la upeanaji wa chanjo...

SERIKALI YA ISIOLO YAZINDUA CHANJO YA POLIO KWA AWAMU YA PILI

Serikali ya kaunti ya isiolo imezindua zoezi la kuwachanja watoto walio chini ya miaka mitano dhidi ya ugonjwa wa polio hapo kesho.

Wafanyikazi wa hospitali ya rufaa ya Isiolo walalamika kwa kutolipwa

Baadhi ya wafanyakazi katika hospitali ya rufaa ya isiolo wanalilia haki, wakidai kuwa hawajapokea mshahara kwa kipindi cha miezi sita.

Soko kuu la Alhamisi la kaunti ya Isiolo lafunguliwa

Wiki moja tu baada ya manispaa ya kaunti ya Isiolo kulifunga soko la alhamisi mwenyekiti wa manispaa ya Isiolo Osman Halakhe ametangaza...

Mtetezi wa haki za kibinadamu kaunti ya Isiolo amuomba matiangi kusuluhisha suala ya ukosefu wa usalama.

Mtetezi wa haki za kibinadamu ambaye anahudumu pia kama katibu mwandalizi wa chama cha third way alliance Andrew Mola Ilere amemwandikia barua...

WATU WAWILI WAUWAWA KWENYE KISA CHA WIZI WA MIFUGO KAUNTI YA MARSABIT

Watu wawili wameuawa katika kaunti ya Marsabit baada ya wavamizi ambao wanadaiwa kuwa wezi wa mifugo kuvamia eneo la Badassa kwenye eneo...

TOP AUTHORS

0 POSTS0 COMMENTS
8 POSTS0 COMMENTS
17 POSTS0 COMMENTS
0 POSTS0 COMMENTS
3 POSTS0 COMMENTS

Most Read

Mashabiki wa radio Shahidi, wawatunuku wanafunzi wa Shule ya kambi ya Juu kwa madawati

Radio shahidi kwa ushirikiano na baadhi ya viongozi na mashabiki wametoa ufadhili wa madawati thelathini na matatu,  katika shule ya msingi ya...

Wakaazi wa Burat Isiolo wawasilsha malalamishi kwa NLC.

Wakaazi wa wadi ya Burat kaunti ya Isiolo wamewasilisha malalamishi yao katika afisi ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi kufuatia dhuluma za...

Readings at Mass Tuesday 7 September 2021

23rd Sunday in Ordinary Time  Liturgical Colour: Green. First reading Colossians 2:6-15

Blessed Frederic Antoine Ozanam

7TH SEPT Antoine-Frederic Ozanam was an ordinary guy with extraordinary talent who lived an ordinary life but loved in...