Staff Mail

CATHOLIC DIOCESE OF ISIOLO COMMUNICATION DEPARTMENT

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA AFC ATAKA MAZUNGUMZO NA WASHIKADAU WA SOKA NCHINI

Na Wajumbe Kamachu........Aliyekuwa mwenyekiti wa afc leopards alex ole magelo amewaomba washika dau wa soka nchini kukutana ili kujadili mbinu za kuokoa soka nchini baada ya jopo la mizozo ya michezo kufutilia mbali uchaguzi wa shirikisho la soka FKF. Kenya iko hatarini ya kupigwa marufuku ya kushiriki mashidano ya kitaifa baada ya kukosa kutii agizo la fifa .,………………………………….. Wachezaji wawili wa psg thiago silva na neymar junior wameondoka ufaransa na kurejea brazil baada ya rais wa france emannuel macron juangiza kufungwa kwa mipaka yake kwa siku 15 ili kukabiliana na virusi vya corona. Ligi kuu ya ufaransa iliahirishwa mpaka mwezi wanne. …………………………………………………………… Zilatan ibramovich ameanzisha mchango utakaosaidia nchi ya italia kuwasaidia watu walioathirika na virusi vya Corona. Zlantan na ambaye anacheza soka ya kulipwa kambini mwa ac milian ametoa kima kizito cha paundi milioni 46. …………………………………………………………… Chelsea wamezungumza na Barcelona kuhusu uwezekano wa kusaini mkataba na kiungo wa kati Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27 kwa mkopo msimu ujao. Kilabu ya Rb Leipzig imeonyesha azima yake ya kumsajil tena naiby keita kutoka Liverpool. Naiby keita na mwenye umri wa miaka 25 alijunga na wana Liverpool mwaka wa 2018 kwa paundi milioni 58 akitokea leipzing na huwenda akarejea ujerumani baada ya kukosa kutambaa anfield msimu huu akicheza mechi 9 pekee