Staff Mail

CATHOLIC DIOCESE OF ISIOLO COMMUNICATION DEPARTMENT

HERBERT MWACHIRO FIFA YAPONGEZWA

Na Henry Mwangangi...... Anayewania kiti cha urais wa Shirikisho la soka nchini Herbert Mwachiro amepongeza muungano wa FIFA kwa kutoa fedha za kusaidia shirikisho mbalimbali duniani kupambana na athari za corona. Mwachiro anasema kuwa fedhahizo zitasaidia wachezaji, makocha na washikadau mbalimbali katika sekta ya michezo ambao wameathirika zaidi na janga la COVID 19. Kiungo mshambuliaji wa Manchester United Angel Gomes anatarajiwa kuondoka Old Ttrafford baada ya kutokubali kandarasi mpya kwa mujibu wa meneja Ole Gunnar. Meneja huyo alikuwa na matumaini kuwa Gomes angetia saini mkataba mpya lakini sasa hakuna matumaini huku kandarasi ya Gomes ikiisha hii leo.