Staff Mail

CATHOLIC DIOCESE OF ISIOLO COMMUNICATION DEPARTMENT

JANGA LA KORONA KATIKA SOKA

NA WANJUMBE KAMACHU.................................................. Janga la corona limezidi kuwakumba wanaspoti hivi karibuni akiwa ni kocha wa galtasary fatih terim. Kupitia mtandao wake wa twitter terim amesema yuko chonjo na anazidi kupoka matibabu. Ligi kuu ya uturuki iliahirishwa wiki jana jana …………………………………………………………… Shirikisho la soka barani ulaya UEFA imeahirisha finali za champions league na uropa kwa upande wa wanaume na wanawake ambazo zilikuwa zitambee mwezi wa tano. Fainali hizo zimefutiliwa mbali kutokana na janga la corona. ………………………………………………………… Tottenham wanavutiwa kumsajili kiungo wa QPR Eberechi Eze na mwenye umri wa miaka 21 wakati klabu za Crystal Palace na Sheffield United kutokuwa tayari kulipa kitita cha pauni milioni 20 ambacho QPR wanakitaka. Spurs wamekuwa na taabu katika kiungo baada ya eriksen kujiunga na inter ……………………………………………………………. Klabu ya Chelsea inavutiwa kumsajili kiungo mkabaji wa West Ham Declan Rice katika dirisha la majira ya kiangazi. Rice na mwenye umri wa miaka 21 amekuwa chaguo la david moyes tangu asajiliwe kuwaongoza wana hammers