Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News

News

Serikali ya kaunti ya Isiolo yalaumiwa kwa kutotenga pesa ya basari

Kwa mara nyingine serikali ya kaunti ya Isiolo  imekashfiwa kwa kutotenga pesa za basari. Wa hivi karibuni akiwa...

Mwanamume aliyenaswa akisafirisha bangi kufikishwa mahakamani hii leo.

Mshukiwa wa  ulanguzi wa bangi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani jumatano, hii ni baada ya  kilo kumi na tisa za bangi, zilizo na dhamana...

ASKOFU MUKOBO AONYA DHIDI YA KUHAIRISHA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2022

Kanisa limeendelea kuhimiza umuhimu wa kura ya maoni kufanyika baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 na si kabla. Akiongea wakati wa...

KAUNTI ZOTE ZIWE NA MAHAKAMA KUU, ASEMA JAJI MKUU

Jaji mkuu Martha Koome amesisitiza haja ya kaunti zote nchini kuwa na mahakama kuu. Koome ameiambia baraza la magavana kwamba majimbo saba...

CHANJO YA POLIO KUENDELEA HADI ALHAMISI, BAADA YA IDD

Washikadau katika sekta ya afya na wale wanaohusika katika vita dhidi ya maradhi ya polio wametangza kuwa zoezi la upeanaji wa chanjo...

Seneta wa Isiolo Fatuma Dullo alalamikia kuhangaishwa kwa baadhi ya wafanyabiashara.

By Julius Waweru Seneta wa kaunti ya Isiolo Fatuma Dullo kwa mara nyingine ameikashfu serikali ya kaunti kwa...

SERIKALI YA ISIOLO YAZINDUA CHANJO YA POLIO KWA AWAMU YA PILI

Serikali ya kaunti ya isiolo imezindua zoezi la kuwachanja watoto walio chini ya miaka mitano dhidi ya ugonjwa wa polio hapo kesho.

MWANAUME ANAYEDAIWA KUWATEKA NYARA NA KUUWA WATOTO 10 AKAMATWA NAIROBI

Makachero wa uchunguzi wa jinai DCI wanamzuilia mwanaumwe mwenye umri wa miaka 20 anayeshukiwa kuwateka nyara na kuwaua watoto mjini Nairobi.

REMEMBERING LUIGI LOCATI, FIRST BISHOP OF ISIOLO

At the geographical heart of Kenya, below the scorching sun of the northern   part of Kenya, stands the twin rectangular towers, that...

WAKAAZI WA ISIOLO WASHAURIWA KUKUMBATIA AMANI.

Kufuatia visa vya utovu wa usalama katika kaunti ya Isiolo, wito sasa umetolewa kwa wakaazi kudumisha amani. Wito huu...

Vijana kaunti ya isiolo washauriwa kujiepusha na wanasiasa ambao lengo lao ni kutatiza amani

Vijana katika kaunti ya Isiolo wameshauriwa kujiepusha na wanasiasa ambao lengo lao ni kuwatumia  kutatiza amani katika kaunti hii  hasa wakati huu...

Makamanda Wa Polisi Isiolo Wapata Mafunzo Ya Kuhakikisha Mijengo Jimboni Inafuata Kanuni Hitajika

Maafisa wa polisi katika kaunti ya Isiolo wakiongozwa na kamanda joseph kigen wamehamashishwa kuhusiana na jukumu lao katika kuhakikisha majengo yote katika...

Most Read

Makadirio ya uzalishaji wa chakula katika sekta ya Ukulima

Mazao ya vyakula yanatarajiwa kuongezeka kati ya mwaka wa 2018 hadi 2022 Ongezeko hili linatarajiwa   kufuatia vijana katika kaunti...

Sen. Abshiro aitaka serikali ya Isiolo kuzisaidia hifadhi za jamii.

Seneta mteule Halake Abshiro, ameitaka serikali ya kaunti ya Isiolo kutenga fedha Zaidi  katika bajeti yake kwa manufaa ya wakaazi wanaoishi katika...

NYOTA YA MATUMAINI KWA VIJANA WANAOITAJI KUJIKIMU NA KOZI ZA KIUFUNDI

Huku Kenya ikizidi kufanikisha ruwaza ya mwaka wa elfu mbili na thelathini, vijana wanazidi kutakiwa kujikimu na ujuzi wa kiteknikali ili waweze...

Makadirio ya mapato ya Kaunti ya Isiolo.

Mapato ya Kaunti ya Isiolo yanatarajiwa kuongezeka kati ya 2017-2022.  Ongezeko hili linatarajiwa kuwa thabiti. Mwaka wa 2017/18...