Ooops ! You forgot to enter a stream url ! Please check Radio Player configuration

Home News Local News

Local News

MIFUGO WALIOIBIWA WAREJESHWA

Mbuzi sabini na wanne kati ya 87 walioibiwa kwenye shambulio la Jumanne usiku, lililopelekea kujeruhiwa kwa  watu wawili katika eneo la mwangaza...

“Gavana kuti, Kamilisha ahadi yako,” wasema viongozi wa vijana

Na Mureithi Kirimi Viongozi wa mradi wa kazi mtaani, wameitaka serikali ya kaunti kuanzisha miradi ambayo itawasaidia vijana wakati...

ILANI YATOLEWA KWA WAKAAZI WANAOWACHILIA MIFUGO WAO MJINI

Ilani ya siku saba imetolewa kwa wote wanaowafuga wanyama na kuwaachilia kuingia mjini, ilani ambayo itasalia hadi alhamisi  tarehe kumi mwezi huu....

WATU WAWILI WAFARIKI HOSPITALINI HUKU WAUGUZI WAKISHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’

Familia mbili mjini Nanyuki, kaunti ya Laikipia wanalilia haki baada ya wagonjwa wawili kudaiwa kufariki walipokuwa kwa kukosa matibabu katika hospitali ya...

OCS ASHTAKIWA KWA MAUAJI YA SEREMALA GARISSA MJINI

Mkuu wa kituo kimoja cha polisi katika kaunti ya Garissa amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la mauaji. Mbele...

AFYA: HOSPITALI ZA KENYA ZINA UWEZO WA KUFANYA UPASUAJI WA FIGO, ASEMA MTAALAM

Huduma zinazohusisha matibabu ya figo, ikiwemo kubadilisha figo, zinapatikana nchini Kenya- kinyume na matarajio ya wananchi Wengi. Akiwahutubia wanahabari...

BALOZI WA VITA DHIDI YA POLIO AWATAKA WAZAZI KUWARUHUSU WANAO KUPOKEA CHANJO

Balozi wa vita dhidi ya ugonjwa wa polio katika kaunti ya Isiolo, Mohamed Abdulahi, almarufu Medize Medize, amewaomba wazazi kuwaruhusu wanao kupewa...

WANAHARAKATI WAWATAKA VIONGOZI KUZITUMIA HELA ZA UMMA VYEMA

Wanaharakati   katika kaunti ya Isiolo, wamezitaka serikali za kaunti ya Isiolo  na ile ya  kitaifa kuhakikisha matumizi mema ya fedha zilizonuiwa katika...

GAVANA WA WAJIR AAHIDI KUIMARISHA SEKTA YA AFYA, MAJI NA ELIMU

Gavana mpya wa Wajir Ahmed Ali Muktar amesema kwamba atazipa kipaumbele sekta za Maji, afya na Elimu katika utawala wake. Kando na...

Mtu mmoja afariki, 40 wengine hospitalini baada ya kula mzoga wa ngamia Isiolo.

Na Jackline Mung'athia Mtu mmoja amefariki huku wengine 40 wakiendelea kupokea matibabu katika hospitali za mbali mbali ikiwemo hospitali...

COVID 19:WAAKAZI MJINI ISIOLO WAPUUZA MASHARTI YA KUDHIBITI KORONA

Baadhi ya wakaazi katika kaunti ya Isiolo, wameonekana kulegeza masharti ya kujikinga dhidi ya virusi vya Corona. Katika ziara iliyofanywa na meza...

RADIO SHAHIDI YANG’AA KATIKA KUZA AWARDS 2021

Kituo cha Radio Shahidi kwa mara nyingine kimeibuka kituo bora katika upeperushaji wa matangazo bora ya elimu kwa jamii haswa wakati huu...

Most Read

“JAMII YA AMERU ISIOLO TUSEME KWA SAUTI MOJA,’’MWENYEKITI WA NJURI NCHEKE ASEMA.

Wito umetolewa kwa jamii ya Ameru katika  kaunti ya Isiolo kudumisha amani na kutokubali kugawanyawa kwa misingi ya kimaeneo.

SENETA ABSHIRO AMTAKA MATIANG’I NA MUTYAMBAI KUTOA TAARIFA KUHUSU SHAMBULIZI ENEO LA MADOWALE.

Seneta mteule Abshiro Halakhe amemwomba waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Daktari Fred Matiangi, na inspekta generali wa polisi...

READINGS AT MASS TUESDAY 22 JUNE 2021

 12th Week in Ordinary Time Liturgical Colour: Green. First reading

St. Paulinus of Nola

22nd June Anyone who is praised in the letters of six or seven saints undoubtedly must be of extraordinary...